Tigray
From Wikipedia
Tigray (Pia: Tigre) ni jimbo la Ethiopia ya kaskazini na sehemu za nyanda za juu. Mju mkuu ni Mekelle.
Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kitigray au "Kitigrinya". Idadi kubwa hufuata Ukristo wa kirthodoksi kuna Waislamu pia. Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi ni mwenyeji wa Tigray.
Mji muhimu wa kihistoria ni Aksum ambapo ni chanzo cha Ethiopia. Mji wa Adowa upo Tigray vilevile. Mwaka 1896 uvamizi wa Italia ulishindwa katika mapigano ya Adowa.