Mekelle
From Wikipedia
Mekelle ni mji mkuu wa jimbo la Tigray katika Ethiopia ya kaskazini. Iko takriban 650 km kaskazini ya Addis Ababa. Idai ya wakazi ilikadiriwa mw. 2005 kuwa 220,000.
Kuna chuo kikuu kinachotoa masomo hasa ya kilimo na uchumi.
[edit] Historia
Mekelle ilianzishwa kama mji mkuu wa Kaisari Yohanne IV katika karne ya 19. Imeendelea kukua kuwa kitovu cha kiuchumi na kiutawala wa Tigray.