Theodor Svedberg
From Wikipedia
Theodor Svedberg (30 Agosti, 1884 – 26 Februari, 1971) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Sweden. Baadhi ya uchunguzi mwingi aliunda aina ya mashinepewa. Pia alitafiti mada za fizikia ya kiini. Mwaka wa 1926 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.