1926
From Wikipedia
[edit] Matukio
- 6 Agosti - Gertrude Ederle ni mwanamke wa kwanza kuvuka mlangobahari kati ya Uingereza na Ufaransa kwa kuogelea.
- 15 Novemba - Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kibritania katika Azimio la Balfour (kwa Kiingereza Balfour Declaration of 1926), mtangulizi wa Jumuiya ya Madola kama ushirikiano wa Uingereza na koloni zake za zamani.
[edit] Waliozaliwa
- 24 Machi - Dario Fo (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1997)
- 25 Novemba - Tsung-Dao Lee (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1957)
[edit] Waliofariki
- 21 Januari - Camillo Golgi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1906)
- 21 Februari - Heike Kamerlingh Onnes (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1913)
- 14 Septemba - Rudolf Christoph Eucken (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1908)
- 25 Desemba - Yoshihito, Mfalme Mkuu wa Japani