Charles Edouard Guillaume
From Wikipedia
Charles Edouard Guillaume (15 Februari, 1861 – 13 Juni, 1938) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswisi aliyeishi Ufaransa. Hasa alichunguza vipimo vya muda. Mwaka wa 1920 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.