1938
From Wikipedia
[edit] Matukio
- 9 Novemba - Usiku wa Chembechembe (kwa Kijerumani: Reichskristallnacht), ambapo WaNazi wanatumia nguvu na vurugu dhidi ya Wayahudi.
[edit] Waliozaliwa
- 8 Aprili - Kofi Annan
- 12 Novemba - Benjamin Mkapa (Rais wa tatu wa Tanzania)
[edit] Waliofariki
- 13 Juni - Charles Edouard Guillaume (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1920)
- 10 Novemba - Kemal Atatürk (Rais wa kwanza wa Uturuki)