Abderrahmane Sissako
From Wikipedia
Abderrahmane Sissako (alizaliwa Mauritania mwaka 1961) aliishi nchini Mali wakati wa utoto na ujana wake, akahamia Urusi, mji wa Moscow, alipokaa miaka kumi na aliposoma kwenye Taasisi ya Sinema (VGIK).
Mwaka 1988 alitunga filamu yake ya kwanza inayoitwa "Mchezo" au "Le Jeu" katika kifaransa.
Orodha ya filamu zake:
- 1988 : Mchezo/ Le Jeu (filamu fupi)
- 1993 : Oktoba/ Octobre (filamu fupi)
- 1995 : Ngamia na fimbo zinazoelea / Le chameau et les bâtons flottants (filamu fupi)
- 1996 : Sabriya
- 1997 : Rostov-Luanda
- 1998 : Maisha Duniyani / La vie sur terre (Mtajo wa pekee katika FESPACO ya kumi na sita mwaka 1999)
- 2002 : Heremakono (Wakisubiri Heri) (Tunza kubwa-Étalon de Yenenga katika FESPACO ya kumi na nane mwaka 2003)