Amerika ya Kaskazini
From Wikipedia
Amerika ya Kaskazini ni bara kwenye upande wa Kaskazini mwa Ikweta. Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi, na Bahari ya Atlantiki upande wa Mashariki.
Ina nchi mbili hadi tatu kutegemeana na hesabu :
- Kanada
- Marekani
- Meksiko ni kijiolojia sehemu ya Amerika Kaskazini ingawa kiutamaduni ni sehemu ya "Amerika ya Kilatini" na kuhesabiwa pia katika Amerika ya Kati.
Nchi za Amerika ya Kati zinahesabiwa kuwa sehemu za bara hilo katika hesabu ya kawaida ya bara saba. Kijiolojia ziko juu ya bamba la gandunia tofauti na Amerika Kaskazini ni bamba la Karibi pia kihistoria na kiutamaduni ziko toafuti na nchi mbili kubwa katika kaskazini.
Categories: Mbegu | Bara | Amerika