Aleksandr Solzhenitsyn
From Wikipedia
Aleksandr Isayevich Solzhenitsyn (amezaliwa 11 Desemba, 1918) ni mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi ya Urusi. Mwaka wa 1970 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Anajulikana hasa kwa kitabu chake "Funguvisiwa Gulag" (kwa Kirusi Arkhipelag Gulag) kilichotolewa katika majuzuu matatu miaka ya 1973-75. Alikamatwa na serikali na kufukuzwa nje ya nchi kwa sababu ya kitabu hicho. Mwaka wa 1994 amerudi Urusi.