Severo Ochoa
From Wikipedia
Severo Ochoa (24 Septemba, 1905 – 1 Novemba, 1993) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Hispania. Hasa alichunguza vimeng’enya vya chembe hai. Pia alifaulu kusanisi DNA. Mwaka wa 1959, pamoja na Arthur Kornberg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.