Gerhard Domagk
From Wikipedia
Gerhard Johannes Paul Domagk (30 Oktoba, 1895 – 24 Aprili, 1964) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali, na kuchapa kazi kwa ajili ya tiba ya kikemia kukomesha magonjwa kama kifua kikuu na kansa. Mwaka wa 1939 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.