1895
From Wikipedia
[edit] Matukio
[edit] Waliozaliwa
- 15 Januari - Artturi Ilmari Virtanen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1945)
- 1 Mei - Leo Sowerby (mtungaji muziki Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1946)
- 8 Julai - Igor Tamm (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
- 24 Septemba - Andre Cournand (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 30 Oktoba - Gerhard Domagk (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1939)
- 30 Oktoba - Dickinson Richards (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 14 Desemba - Paul Eluard (mshairi Mfaransa)