Waluguru
From Wikipedia
Waluguru ni kabila la Tanzania wanaoishi katika mikoa ya Morogoro na Pwani, hasa kwenye Milima ya Uluguru. Lugha yao ni Kiluguru.
Makala hiyo kuhusu "Waluguru" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Waluguru kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |