Ralph Bunche
From Wikipedia
Ralph Johnson Bunche (7 Agosti, 1904 – 9 Desemba, 1971) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1950 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani kwa vile aliwasaidia Waarabu na Waisraeli kusimamisha vita yao kwa muda kule Palestina mwaka wa 1949.