Mvomero
From Wikipedia
Wilaya ya Mvomero ni wilaya moja ya Mkoa wa Morogoro. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 260,525 [1].
Makala hiyo kuhusu "Mvomero" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Mvomero kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |