Magu
From Wikipedia
Wilaya ya Magu ni wilaya moja ya Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 416,113 [1].
Makala hiyo kuhusu "Magu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Magu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |