Kiteto
From Wikipedia
Wilaya ya Kiteto ni wilaya moja ya Mkoa wa Manyara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kiteto ilihesabiwa kuwa 152,757 [1].
Makala hiyo kuhusu "Kiteto" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kiteto kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |