Kilombero
From Wikipedia
Wilaya ya Kilombero ni wilaya moja ya Mkoa wa Morogoro. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 322,779 [1]. Makao makuu ya wilaya hiyo ni mji wa Ifakara. Mji maarufu kwa utafiti wa ugonjwa wa malaria.