Geita
From Wikipedia
Wilaya ya Geita ni wilaya moja ya Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 712,195 [1].
Makala hiyo kuhusu "Geita" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Geita kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |