Dickinson Richards
From Wikipedia
Dickinson Woodruff Richards (30 Oktoba, 1895 – 23 Februari, 1973) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza hali ya moyo wa binadamu. Mwaka wa 1956, pamoja na Andre Cournand na Werner Forssmann alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.