Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Nikaragua - Wikipedia

Nikaragua

From Wikipedia

República de Nicaragua
Jmahuri ya Nikaragua
Flag of Nikaragua Nembo ya Nikaragua
Bendera Nembo
Wito la taifa: Pro Mundi Beneficio
(Kilatini: Kwa salama ya dunia)
Wimbo wa taifa: Salve a ti, Nicaragua
(Usalimiwe Nikaragua)
Lokeshen ya Nikaragua
Mji mkuu Managua
12°9′ N 86°16′ W
Mji mkubwa nchini Managua
Lugha rasmi Kihispania (kitaifa) (Kiingereza lugha za kieneyeji kimahali kwenye pwani la Karibi)
Serikali
Rais
Jamhuri
Enrique Bolaños
Uhuru
Imetangazwa
Imetambuliwa

15 Septemba 1821
25 Julai 1850
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
130,000 km² (ya 97)
14.01
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
5,487,000 (ya 108)
42/km² (ya 157)
Fedha Cordoba (NIO)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-6)
(UTC)
Intaneti TLD .ni
Kodi ya simu +505
Ramani ya Nikaragua
Ramani ya Nikaragua

Nikaragua ni nchi ya Amerika ya Kati yenye wakazi milioni 5.5. Imepakana na Honduras na Kosta Rika; upande wa magharibi ni pwani la Pasifiki na upande wa mashariki kuna pwani la Bahari ya Karibi.


Jina la nchi linasemekana kuwa mchanganyiko wa jina la wakazi asilia walioitwa "Nikarao" na neno la Kihispania la "agua" (=maji) kutokana na maziwa makubwa mawili nchini yanayoitwa Lago Managua na Lago Nicaragua. Maelezo mengine yanamtaja chifu wa wazalendo wakati wa kufika kwa Wahispania aliyeitwa "Nikarao".


Contents

[edit] Wakazi

Wakazi walio wengi sana hukalia maeneo ya mji mkuu Managua na pwani la Pasifiki. Sehemu kubwa (70 %) ni chotara kati ya wakazi asilia na Wazungu. Takriban asilimia 10 za Wanikaragua ni wa asili ya kiafrika wakikaa hasa kwenye pwani la Bahari ya Karibi.


[edit] Jiografia

Nikaragua ina volkeno nyingi; nyororo ya milima ya kivolkeno hufuata mstari wa pwani la Pasifiki. Sehemu ya juu ni mlima Mogoton mwenye kimo cha 2,438 m juu ya UB. Maziwa makubwa mawili ya maji matamu ni Lago Managua na Lago Nicaragua. Eneo upande wa Karibi ina wakazi wachache sana ni hasa eneo la misitu minene.

[edit] Historia

Nchi ilikuwa koloni ya Hispania tangu 1524. Mwaka 1821 iliachana na utawala wa Hispania pamoja na nchi jirani na kuingia katika Shirikisha la Amerika ya Kati. Tangu mwaka 1854 imekuwa nchi ya kujitegemea kabisa.


[edit] Viungo vya Nje

[www.pronicargua.org.ni]


[edit] Sanaa na utamaduni

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Nikaragua" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Nikaragua kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com