Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Bia - Wikipedia

Bia

From Wikipedia

Viwanda vya pombe vilianza kufanya biashara katika mji wa Dar es Salaam mwaka wa elfu moja mia tisa na sita. Bwana Wilhelm Schultz alikuwa mmilikaji wa biashara hii. Biashara hii iliharibiwa na Waingereza katika mwaka wa elfu moja mia tisa na kumi na sita, lakini biashara ingine ilianza kuuza bia katika mwaka wa elfu moja mia tisa ishirini na mbili nchini Kenya na Tanzania. Biashara hii mpya iliitwa “Kenya Breweries Limited.”

Mwanzoni waafrika wa mashariki hawakuruhusiwa kununua bia katika chupa. Bali kanuni ilibadilishwa baada ya sheria mpya ilipopitishwa mwaka wa elfu moja mia tisa arobaini na saba. “Kenya Breweries Limited” au “KBL” na “East African Breweries Limited” au “EABL” zilitawala soko la bia kwa muda mrefu kabisa.

Baada ya harakati za uhuru katika miaka ya sitini bia ilikuwa ishara ya utaifa. Mathalani, bia ya Tusker ilikuwa bia ya taifa nchini Kenya. Tusker ni bia maarufu kuliko mabia yote. Kabla mwaka wa elfu moja mia tisa sabini na saba serikali za Tanzania na Uganda zilimiliki biashara za bia, lakini biashara “KBL” ilibaki katika sekta ya binafsi nchini Kenya. Katika miaka ya tisini “Vita za bia” zilifanyika. Biashara nyinge zilipambana. Kuna biashara nyingi za bia sasa katika Afrika ya Mashariki.

Baadhi ya watu hupika pombe yao wenyewe. Wanawake hupika pombe nyumbani kwa kawaida. Ujuzi wa kupika pombe ni rahisi. Katika karne ya elfu moja na mia tisa, watu walitumia mtama na mkota kupika pombe. Mpaka sasa watu hawakutumia mahindi. Lakini siku hizi mahindi ni kiambato cha kinachopendwa sana. Ndizi hutumika kutengeneza divai. Watu wa Afrika ya Mashariki hunywa pombe na divai katika vyungu vikubwa. Pombe hutumika katika sherehe nyingi katika Afrika ya Mashariki.Unywaji ni sababu kujuana.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com