Wazinza
From Wikipedia
Wazinza ni kabila kutoka eneo la kusini-magharibi ya Ziwa Viktoria na visiwa vya jirani, nchini Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wazinza ilikadiriwa kuwa 138,000 [1]. Lugha yao ni Kizinza.
Makala hiyo kuhusu "Wazinza" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wazinza kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |