Wazanaki
From Wikipedia
Wazanaki ni kabila kutoka eneo la kaskazini-magharibi ya nchi ya Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wazanaki ilikadiriwa kuwa 62,000 [1]. Lugha yao ni Kizanaki.
Makala hiyo kuhusu "Wazanaki" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wazanaki kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |