Waswahili
From Wikipedia
Waswahili ni kabila kutoka pwani ya Bahari Hindi ya nchi za Kenya na Tanzania.
Pia, ni kawaida kuwaita wasemaji wa Kiswahili Waswahili hata kama ni wenyeji wa makabila mengine.
"Mswahili" ni pia namna ya kumtaja mtu mjanja kwa lugha ya mzaha.