Wasukuma
From Wikipedia
Wasukuma ni kabila kubwa kutoka eneo la kusini na mashariki ya Ziwa Viktoria, nchini Tanzania. Kabila hili hasa huishi katika mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Mwaka 2001 idadi ya Wasukuma ilikadiriwa kuwa 3,200,000 [1]. Lugha yao ni Kisukuma. Kisukuma ni miongoni mwa lugha za Kibantu ambazo hubainishwa kama lugha mabishi.
Makala hiyo kuhusu "Wasukuma" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wasukuma kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |