Wakerewe
From Wikipedia
Wakerewe ni kabila la Tanzania wanaoishi kwenye kisiwa cha Ukerewe katika Ziwa la Viktoria. Lugha yao ni Kikerewe.
Makala hiyo kuhusu "Wakerewe" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wakerewe kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |