Wakara
From Wikipedia
Wakara ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mara, kwenye Kisiwa cha Ukerewe. Lugha yao ni Kikara.
Makala hiyo kuhusu "Wakara" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wakara kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |