Wadi Draa
From Wikipedia
Draa (Wadi Draa) | |
---|---|
|
|
Chanzo | Maungano ya tawimito ya Dades na Imini katika milima ya Atlas |
Mdomo | {{{mdomo}}} |
Nchi | Moroko |
Urefu | 1,100 km |
Kimo cha chanzo | ? |
Mkondo | ? |
Eneo la beseni | ? |
Draa ("Wadi Draa", pia "Oued Dra") ni mto mrefu wa Moroko. Inaanza katikati ya nchi kwenye milima ya Atlasi inapoungana tawimito ya Dadès and Imini. Mwanzoni inaelekea kusini mashariki hadi Tagunit halafu kusini-magharibi ikifuata mpaka wa Algeria na Moroko hadi mdomo wake kwenye Atlantiki.
Ni mara kwa mara tu ya kwamba maji yake yanafika baharini, wakati mwingi inakauka njiani. Miji muhimu mtoni ni Warzazate (Ouarzazate) na Zagora.