Vidiadhar Surajprasad Naipaul
From Wikipedia
Vidiadhar Surajprasad Naipaul (amezaliwa 17 Agosti, 1932) ni mwandishi kutoka kisiwa cha Trinidad. Ameandika riwaya zake bila rajua, na zinaonyesha maisha magumu katika nchi zinazoendelea. Mwaka wa 2001 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.