Swala
From Wikipedia
Swala ni mnyama katika jamii ya wanyama walao nyasi. Hupatikana katika maeneo yeye nyasi fupi fupi na vichaka vifupi fupi hasa kwenye maeneo mengi ya hifadhi katika Afrika, mnyama huyu hukimbia kilometa 80 kwa saa na anao uwezo wa kuruka mita 7 hadi 8 juu akiwa kwenye kasi. Rangi yake ni ya udongo na njeupe kidogo kwenye koromeo na sehemu ya chini ya mkia. Maadui zake wakubwa ni simba, chatu na chui.
Makala hiyo kuhusu "Swala" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Swala kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |