Romain Rolland
From Wikipedia
Romain Rolland (29 Januari, 1866 – 30 Desemba, 1944) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Baadhi ya maandiko yake aliandika wasifu ya maisha ya Ludwig van Beethoven. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia alifuata mawazo ya Gandhi na ya kikomunisti. Mwaka wa 1915 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.