Nili
From Wikipedia
Nili ni rangi ya buluu iliyoiva. Rangi hiyo hutumika hasa kwa kutia rangi nguo. Inatoka kwa mimea fulani kiasili hasa kwenye mnili (Indigofera tinctoria). Siku hizi, rangi ya nili hutengenezwa mara nyingi kwa usanisi.
Makala hiyo kuhusu "Nili" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Nili kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Categories: Rangi | Mbegu