From Wikipedia
Neno ngoma lina maana mbalimbali:
- Ala ya muziki inayotumika sana barani Afrika (angalia ngoma (ala ya muziki)).
- Muziki unaochezwa na ala hii (angalia ngoma (muziki)).
- Muziki wa aina yoyote.
- Kucheza na muziki wa ngoma.
- Kucheza na muziki wa aina yoyote.
- Katika lugha ya mtaani, ngoma inaweza kumaanisha Virusi vya Ukimwi au Ukimwi.
|
Ukarasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja.
Chagua maana uliyoikusudi.
Maelezo katika ukarasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukarasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.
|