Moroni (Komoro)
From Wikipedia
- Kwa mahali kwingine ambapo kuna watu na vitu zina jina sawa, Moroni
Moroni (Kiarabu: موروني) ni mji mkubwa wa Komoro na kutoka mwaka wa 1962 ni mji mkuu wa Komoro. Mwaka wa 1990, mji huu ulikuwa na watu 23,400 wakazi.
Mji mwenyewe umo magharibi mwa Grande Comore (Ngazidja). Kiwanja cha kimataifa cha ndege, Moroni Hahaya chatumika kutua Moroni, kodi ya (kiwanja cha ndege IATA: HAH). Pia kuna bandari ya jahazi zinazotumika kwenda bara Afrika na visiwa vingine via komoro na pia Madagaska na visiwa vya bahari Hindi.
Moroni yenyewe iko kwa
<noinclude>.