Kunguru
From Wikipedia
Kunguru ni ndege wa jenasi Corvus ndani ya familia Corvidae ambao ni wakubwa na weusi pengine na rangi ya weupe, majivu au kahawia. Hula nusura kila kitu: wanyama na ndege wadogo, wadudu, mizoga, matunda, nafaka k.y.k. Hujenga matago yao juu ya miti au majabali. Spishi nyingine hujenga matago kwa makundi.
[edit] Spishi za Afrika
- C. albicollis, Kunguru Kisogo-cheupe (White-naped Raven)
- C. albus, Kunguru Rangi-mbili (Pied Crow)
- C. capensis, Kunguru Mwangapwani (Cape Rook or Cape Crow)
- C. crassirostris, Kunguru Domo-nene (Thick-billed Raven)
- C. edithae, Kunguru Somali (Somali Crow or Dwarf Raven)
- C. rhipidurus, Kunguru Mkia-mpana (Fan-tailed Raven)
- C. ruficollis, Kunguru Shingo-kahawia (Brown-necked Raven)
- C. splendens, Kunguru Bara-Hindi (Indian House Crow)
[edit] Spishi za mabara mengine
- Corvus antipodum (New Zealand Raven)
- Corvus antipodum antipodum (North Island Raven) imekwisha sasa
- Corvus antipodum pycrafti (South Island Raven) imekwisha sasa
- C. bennetti (Little Crow)
- C. brachyrhynchos (American Crow)
- C. caurinus (Northwestern Crow)
- C. cornix (Hooded Crow)
- C. corax (Common Raven)
- C. corone (Carrion Crow)
- C. coronoides (Australian Raven)
- C. cryptoleucus (Chihuahuan Raven)
- C. dauricus (Daurian Jackdaw)
- C. frugilegus (Rook)
- C. hawaiiensis (formerly C. tropicus) (Hawaiian Crow or 'Alala)
- C. imparatus (Tamaulipas Crow)
- C. jamaicensis (Jamaican Crow)
- C. macrorhynchos (Jungle Crow)
- C. mellori (Little Raven)
- C. monedula (Jackdaw)
- C. moneduloides (New Caledonian crow)
- Corvus moriorum (Chatham Islands Raven) imekwisha sasa
- C. nasicus (Cuban Crow)
- C. leucognaphalus (White-necked Crow)
- C. orru (Torresian Crow)
- C. ossifragus (Fish Crow)
- C. palmarum (Palm Crow)
- C. sinaloae (Sinaloan Crow)
- C. tasmanicus (Forest Raven)
- C. t. boreus (Relict Raven)
- C. torquatus (Collared Crow)
- C. tristis (Grey Crow)
- C. woodfordi (White-billed Crow)