Kiwanji
From Wikipedia
Kiwanji (au Kivwanji) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wawanji.
[edit] Mfumo wa Sauti (Fonolojia)
Lugha ya Kiwanji ina irabu 7 na konsonanti 27. Pia, tofauti kati ya irabu fupi na irabu ndefu huleta tofauti za maana.
[edit] Viungo vya nje
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=wbi
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kiwanji)
[edit] Marejeo
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Makala hiyo kuhusu "Kiwanji" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kiwanji kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |