Kimbugu
From Wikipedia
Kimbugu (pia huitwa Kima'a au Kibwayo na wengine) ni lugha mahuluti ya Kibantu na ya Kikushi nchini Tanzania inayozungumzwa na Wambugu.
[edit] Viungo vya nje
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=mhd
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html
[edit] Marejeo
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Green, Clive. 1963. The Wambugu of Usambara (with notes on Kimbugu). Tanganyika notes and records, 61, uk.175-189.
- Mous, Maarten. 1994. Ma’a or Mbugu. Katika: Mixed languages: 15 case studies in language intertwining, uk.175-201. Kuhaririwa na Peter Bakker & Maarten Mous. Amsterdam: Instituut voor Functioneel Onderzoek van Taal en Taalgebruik (IFOTT).
Makala hiyo kuhusu "Kimbugu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kimbugu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |