Kilimanjaro
From Wikipedia
Kilimanjaro ni jina la Kiswahili linalomaanisha
- Mlima wa Kilimanjaro katika Tanzania ambao ni mlima kubwa kabisa katika bara la Afrika
- Hifadhi ya Kilimanjaro inayozunguka kilele cha mlima
- Mkoa wa Kilimanjaro ni mkoa wa Tanzania katika sehemu ya Mlima wa Kilimanjaro
- Jina la bidhaa mbalimbali zilizopewa jina la mlima kama vile bia ya aina ya Kilimanjaro Lager au maji ya kunywea katika Tanzania, karatasi za Kilimanjaro (Marekani), au keki ya Kilimandscharo (Ujerumani)