John Bosco
From Wikipedia
John Bosco (16 Agosti, 1815 – 31 Januari, 1888) alikuwa padre Mkatoliki na mwanzishi wa Jumuiya ya Francis de Sales Mtakatifu (kwa Kiingereza Salesian Order). Alijitahidi hasa kuwaelimisha watoto na vijana wa kiume. Mwaka wa 1934 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 31 Januari.