Frederick Soddy
From Wikipedia
Frederick Soddy (2 Septemba, 1877 – 22 Septemba, 1956) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza unururifu. Aliunda istilahi mpya ya isotopu. Mwaka wa 1921 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.