Elie Ducommun
From Wikipedia
Elie Ducommun (19 Februari, 1833 – 7 Desemba, 1906) alikuwa mwandishi na mhariri kutoka nchi ya Uswisi. Nje ya kazi yake katika kampuni ya treni, alijitahidi kwa ajili ya amani. Mwaka wa 1902, pamoja na Charles-Albert Gobat alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.