Daniel Bovet
From Wikipedia
Daniel Bovet (23 Machi, 1907 – 8 Aprili, 1992) alikuwa mtaalamu wa madawa kutoka nchi ya Italia; alizaliwa nchi ya Uswisi. Baadhi ya utafiti mwingine aligundua madawa yanayotibu kikemia, kwa mfano salfonamaidi. Mwaka wa 1957 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.