Bombwe
From Wikipedia
Bombwe ni sanaa ya urembo wa kuchora mwilini, kama kuchora kwa hina na kuchora kwa piko, sanaa hii hutumika zaidi na wanawake. Vile vile ni kiumbe anayeishi kwenye maji baridi ama ya chumvi hasa sehemu za bahari zilizoingia ndani ya ardhi ambako pia kuna makutano na maji baridi
Makala hiyo kuhusu "Bombwe" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Bombwe kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Categories: Mbegu | Sanaa