Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Martin Luther - Wikipedia

Martin Luther

From Wikipedia

Martin Luther mwenye umri wa miaka 46
Martin Luther mwenye umri wa miaka 46

Martin Luther (10 Novemba, 148318 Februari, 1546) alikuwa mwanateolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Alijiunga na kituo cha watawa, aliwekwa wakfu kama padre na kuwa profesa kwenye chuo kikuu cha Wittenberg. Swali lililomtesa kwa muda mrefu, yaani "Vipi nipate Mungu mwenye huruma?", limejibiwa aliposoma Barua kwa Waroma, sura ya 3, mstari wa 24: "kwa zawadi ya neema ya Mungu, watu wote hukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Yesu Kristo anayewakomboa." Luther alianza kupinga bidii zote za kanisa za kuwakomboa watu kupitia matendo au sadaka zao (madekezo). Tarehe 31 Oktoba, 1517, alitolea "Hoja 95 dhidi ya madekezo" (kwa Kijerumani: 95 Thesen wider den Ablass) kimaandishi. Hii ilimsababisha kugombana hata na Papa wa Roma, na kutengwa na kanisa akiongoza Mageuzo ya Kanisa. Aliandika vitabu vingi, kutunga nyimbo kadhaa na kutafsiri Biblia katika lugha ya Kijerumani.

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Martin Luther" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Martin Luther kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com