Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Pluto - Wikipedia

Pluto

From Wikipedia

Pluto na mwezi wake Charon jinsi inavyoonekana kwa darubini ya angani ya Hubble.
Pluto na mwezi wake Charon jinsi inavyoonekana kwa darubini ya angani ya Hubble.
Pluto ina rangi ya kahawiya.
Pluto ina rangi ya kahawiya.
<Njia ya Pluto ya kuzunguka jua inakata njia ya Neptun -  hali halisi njia ya Pluto ni duaradufu
<Njia ya Pluto ya kuzunguka jua inakata njia ya Neptun - hali halisi njia ya Pluto ni duaradufu

Pluto ni sayari kibete inayozunguka jua ng'ambo ya Neptun. Mada yake ni mwamba na barafu. Kipenyo chake ni 2,390 km. Katika mwendo wake inakata njia ya Neptun kwa sababu njia yake ina umbo la duaradufu kali.

[edit] Miezi

Pluto ina miezi mitatu inayoitwa Charon, Nix na Hydra. Charon ni kama nusu ukubwa wa Pluto na umbali wa wastani ni 19,410 km. Nix na Hydra ni miezi midogo (kipenyo cha 45 na 160 km) yenye umbali wa 44,000 km kutoka Pluto.

[edit] Sayari au sayari kibete?

Pluto Ilikuwa ikitambulika kama sayari ya tisa katika mfumo wa jua na sayari zake toka mwaka 1930 hadi Agosti 2006. Vipimo vipya vilileta wasiwasi juu ya swali: Je, sayari ni kitu gani?, hasa baada ya kugundua magimba ya ziada nje ya Pluto yanayokaribia ukubwa wake lakini hayafai kuitwa sayari.

Umoja wa kimataifa wa wanafalaki uliondoa Pluto katika orodha ya sayari kwenye mkutano wake wa mwaka wa 2006. Badala yake wameiita sayari kibete. Hata hivyo baadhi ya wanasayansi wa falaki wamepinga uamuzi huo na wameanzisha kampeni ya kurekebisha uamuzi huo.


WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

[edit] Viungo vya nje

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Pluto" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Pluto kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com