Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Sayari kibete - Wikipedia

Sayari kibete

From Wikipedia

Pluto ilitazamiwa kuwa sayari ya tisa katika mfumo wa jua lakini 2006 imeshuhswa kuwa sayari kibete.
Pluto ilitazamiwa kuwa sayari ya tisa katika mfumo wa jua lakini 2006 imeshuhswa kuwa sayari kibete.

Sayari kibete ni gimba la angani katika mfumo wa jua letu. Sayari kibete ni kitengo kipya katika mafundisho ya falaki. Kilianzishwa mwaka 2006 baada ya kugundua magimba mbalimbali yanayozunguka jua letu ambayo ni makubwa kuliko asteoridi zilizojulikana hadi wakati ule lakini hazifai kuitwa "sayari" kamili. Azimio lilifanywa kwenye mkutano wa mwaka 2006 wa Umoja wa kimataifa wa wanafalaki.

Pluto iliyokuwa ilitajwa kama sayari ndogo ya jua letu lilihamishwa kati ya sayari kibete. Magimba mengine katika kitengo hiki ni Ceres na Eris.

Sababu ya kuanzisha utaratibu mpya wa sayari kibete ilikuwa kutambuliwa kwa Eris mwaka 2005. Wataalamu walio wengi hawakuwa tayari kuikubali kama sayari ya kumi. Maadamu inaonekana ni kubwa kidogo kuliko Pluto kitengo kipya kilianzishwa.

[edit] Tabia za Sayari kibete

Tabia za sayari kibete ni hizi nne:

  • 1 ni gimba linalozunguka jua letu
  • 2 ukubwa wake unasababisha uvutano wa kutosha ili kulazimisha mada yake kuchukua umbo kama mpira
  • 3 ukubwa wake haukutosha kufyeka mazingira ya njia yake ya kuzunguka jua kwa kuvuta kwake magimba madogo mengine
  • 4 si gimba linalozunguka sayari nyingine (=yaani si mwezi wa sayari)

Tabia za 1) na 2) ni sawa na sayari.

Tofauti muhimu ni tabia no. 3: Sayari kamili zina ukubwa na uvutano wa kutosha wa kuvuta magimba mengine madogo kwao; yaani katika njia ya dunia yetu au sayari nyingine hakuna vitu vidogo tena vinavyozunguka hapa pamoja na sayari. Yote yameshaanguka chini duniani kutokana na uvutano. Magimba yaliyobaki ni yale amabayo yanazunguka kama mwezi au kama bangili ya Zohari ambayo yana mwendo imara.

Tofauti nyingine muhimu ni no. 4: kuna magimba makubwa kushinda Pluto inayolingana na masharti ya 1-3 lakini huzunguka sayari za Mshtarii na Zohari kwa sababu ni miezi. Kwa mfano Ceres ni mwezi wa Zohari ina kipenyo cha 5,150 km. Io ina kipenyo cha 5,200 karibu sawa na Utaridi lakini ni mwezi wa Mshtarii haifai kuitwa sayari wala sayari kibete.


Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Sayari kibete" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Sayari kibete kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com