Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Lugha za Kirumi - Wikipedia

Lugha za Kirumi

From Wikipedia

Lugha za Kirumi duniani:buluu – Kifaransa; kijani – Kihispania; machungwa – Kireno; njano – Kiitalia; nyekundu – Kiromania
Lugha za Kirumi duniani:
buluu – Kifaransa; kijani – Kihispania; machungwa – Kireno; njano – Kiitalia; nyekundu – Kiromania

Lugha za Kirumi ni lugha zilizotokana na Kilatini cha kale.

Contents

[edit] Kilatini cha Roma ya Kale kama lugha mama

Kilatini kilikuwa lugha rasmi ya utawala, elimu na biashara katika Dola la Roma (au: "Rumi") lililotawala maeneo ya Ulaya ya Kusini, Ulaya ya Magharibi, Afrika ya Kaskazini na Asia ya Magharibi kwa miaka mengi kati ya karne ya kwanza KK na karne ya tano BK.

Kilatini kiliendelea kuwa lugha ya watu wengi katika maeneo mbalimbali ya himaya hii kubwa hasa mjini. Katika sehemu zile zilijitokeza lahaja za pekee za kilatini. Baada ya kuporomoka kwa utawala wa kiroma lahaja hizi za Kilatini katika nchi mbalimbali ziliendelea kuwa lugha za pekee.

[edit] Lugha za Kirumi zinazotumiwa kitaifa:

Lugha ambazo ni muhimi zaidi kama lugha za kitaifa ni

[edit] Lugha za Kirumi zinazotumiwa kieneo:

  • Kikatalania (català) (Hispania, Ufaransa ya Kusini, Andorra na kwenye visiwa kadhaa za Mediteranea) - wasemaji 8,200,000
  • Kigalicia (galego) (Hispania, jimbo la Galiciea) - wasemaji 3,000,000
  • Kioksitania (Occitan) (kusini ya Ufaransa, milima ya Italia ya Kaskazini na bonde la Aran la Hispania)- wasemaji 2,800,000
  • Kifriauli (furlan) (Mkoa wa Friaul - Italia) - wasemaji 350,000
  • Kiladino (ladin dolomitan) (Italia ya Kaskazini: mikoa ya Tirol, Trentino, Venetia) - wasemaji 40.000
  • Kirumanj (Rumantsch/Romontsch/Rumauntsch) (Jimbo la Graubünden, Uswisi) - wasemaji 27,000

[edit] Lugha za kimataifa

Lugha za Kihispania, Kifaransa na Kireno zimesambaa duniani kwa sababu ni lugha za nchi zilizokuwa na koloni na kuacha lugha zao katika nchi nyingi hadi Amerika na Afrika.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com