Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Florida - Wikipedia

Florida

From Wikipedia

Map of Florida
Map of Florida

Florida ni jimbo la Marekani la kujitawala katika kusini magharibi ya nchi. Umbo lake ni rasi inayoanza Marekani bara kuelekea Kuba. Upande wa magharibi ni maji ya ghuba ya Meksiko na upande wa mashariki maji ya Atlantiki. Upana wa rasi ni kati ya 160 hadi 200 km; upande wa kaskazini kabisa eneo la jimbo lapanuka kama kanda mwambaono wa ghuba ya Meksiko.

Florida imepakana na majimbo ya Marekani ya Georgia na Alabama. Nchi za Karibi za Kuba na Bahamas ni karibu.

Jina la Florida ni ya Kihispania, maana yake ni "yenye maua".

Ramani ya Florida
Ramani ya Florida

[edit] Jiografia

Florida ina eneo la 137,374 km², ni nafasi ya 22 kati ya majimbo ya Marekani. Upande wa kusini wa rasi kuna kundi la visiwa la "Florida Keys" lenye umbo kama pinde vinavyounganishwa kwa madaraja. Kisiwa cha kusini kabisa ni "Key West" ambayo kipo kwa umbali wa 140 km pekee na Kuba.

Hakuna milima, na mahali pa juu kabisa pana kimo cha 105 m juu ya UB.

Mji mkuu wa jimbo ni Tallahassee, na Jacksonville ni mji mkubwa jimboni. Miji mingine mikubwa ni Tampa, Orlando na Miami. Orlando kuna maonyesho mashuhuri wa Disney Land. Florida ni pia mahali ambako makombora na vyombo vya angani vya Marekani hurushwa kwenye uwanja wa Cape Canaveral unaoitwa pia "Kituo cha Angani cha Kennnedy".

[edit] Wakazi

Florida ni kati ya majimbo ya Marekani yenye wakazi wasio wachache ambao hawatumii Kiingereza kama lugha ya nyumbani; takriban 16% husema Kihispania.

Kuna wazee wengi kwa sababu ya hali ya hewa pasipo na baridi. Wazee wengi kutoka majimbo ya kazkazini wamependa kuhamia Florida ama kwa uzeeni au kununua makazi wanapokaa wakati wa baridi.

Kurushwa kwa chombo cha angani kwenye kiwanja cha Cape Canaveral
Kurushwa kwa chombo cha angani kwenye kiwanja cha Cape Canaveral

[edit] Historia

Florida ilikaliwa na Waindio kabla ya kuja kwa Wazungu. Tarehe 2 Aprili 1513 Mhispania wa kwanza alifika Florida na kutangaza utawala wa Hispania juu ya rasi. Florida ilitawaliwa kama mkoa chini ya Ufalme Mdogo wa Hispania Mpya.

Baada ya vita ya miaka saba 1763 Hispania ilipaswa kuiachia Uingereza lakini 1783 rasi ilirudi Hispania. 1819 eneo la jimbo liliuzwa kwa Marekani.

3 Machi 1845 Florida ikawa jimbo la 27 la Marekani.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com