Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Kuba - Wikipedia

Kuba

From Wikipedia

República de Cuba
Jamhuri ya Kuba
Flag of Kuba Nembo ya Kuba
Bendera Nembo
Wito la taifa: Kihispania: Patria o Muerte
(„Taifa au mauti“)[1]
Wimbo wa taifa: "La Bayamesa" ("Wimbo la Bayamo")
Lokeshen ya Kuba
Mji mkuu Havana
23°8′ N 82°23′ W
Mji mkubwa nchini Havana
Lugha rasmi Kihispania
Serikali
Rais wa Halmashauri ya Dola
Jamhuri ya kijamii[2]
Fidel Castro
Uhuru
Kutoka Hispania
tangazo la Jamhuri ya Kuba
tarehe inayokumbukwa nchini Kuba

10 Oktoba 1868
20 Mei 1902
1 Januari 1959
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
110,861 km² (ya 105)
negligible
Idadi ya watu
 - 2006 kadirio
 - 2002 sensa
 - Msongamano wa watu
 
11,382,820 (ya 73)
11,177,743
102/km² (ya 97)
Fedha Peso (CUC)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EST (UTC-5)
(Starts April 1, end date varies) (UTC-4)
Intaneti TLD .cu
Kodi ya simu +53
Ramani ya Kuba
Ramani ya Kuba

Kuba ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi kusini ya Marekani. Nchi inajumuisha kisiwa kikuu cha Kuba ambacho ni kisiwa kikubwa cha Antili Kubwa) pamoja na kisiwa cha Isla de Pinos na visiwa vingi vidogo vingine.

Kuba ni nchi kubwa kati ya nchi za Karibi yenye wakazi wengi. Utamaduni wake unaonyesha tabia za historia yake kama koloni ya Hispania ya miaka mingi pia ya wakazi wenye asili katika watumwa kutoka Afrika na kuwa jirani na Marekani.

Hali ya hewa ni ya kitropiki. Kisiwa hupigwa mara kwa mara na dhoruba kali aina za tufani.

Kuba ilikuwa koloni ya Hispania hadi 1898. Wakati ule Marekani iliingilia kati katika uasi wa Wakuba wa kupigania uhuru. Wahispania wakalazimishwa kuondoka baada ya Vita ya Marekani dhidi Hispania. Baadaye Kuba ilikuwa chini ya usimamizi wa kimarekani hadi 1934. Hadi leo kuna mabaki ya kipindi hiki ni kituo cha kijeshi cha Marekani cha Guantanamo Bay.

Fidel Castro
Fidel Castro

Mwaka 1959 kikundi cha wanamapinduzi pamoja na Fidel Castro waliteka mji mkuu wa Havana na kuanzisha serikali ya ujamaa. Baada ya kupingwa na Marekani Castro alitafuta ushirikiano na usaidizi kutoka Urusi wa kikomunsti. Castro alitangaza siasa ya kikomunisti akaendelea kutawala bila uchaguzi huru.

Image:WikiLettreMini.png Makala hiyo kuhusu "Kuba" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Kuba kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com